HUU NI WIMBO MPYA WA MH. JANUARY MAKAMBA AKISHIRIKIANA NA MASTAA KIBAO WA HIP HOP, MH. SUGU NAYE YUPO!


Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia,January Makamba pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu wameshirikishwa kwenye wimbo mpya uitwao 'Haki' uliofanywa na wasanii 13 wa Hip Hop.

Usikilize hapa

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini