HUU NDIO UCHAFU UNAOFANYIKA VYUONI


 
Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngono.
Katika uchunguzi wa muda mrefu, Inaonyesha kuwa kuna kamtindo ka wanafunzi kufanya mapenzi ndani ya hostel zao huku wakijirekodi na kupiga picha chafu na za aibu na wengine hata kuuza miili yao ili kukidhi hali ngumu ya maisha iliyopo vyuoni

Data zilizokamilika zilionesha kuwa wanafunzi hao waliojulikana kwa jina mojamoja ni Maya mwenye umri wa miaka 19, anayesoma katika chuo maarufu cha mahesabu, Raya anayebukua masomo ya Information Technology (IT) na mwingine ambaye jina lake na chuo anachosoma havikupatikana....

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini