
Kutokana na mtandao wa Daily mail, ndoa hiyo wataifungia Ufaransa katika mji wa Paris.
Mwezi uliopita Kim alisema kadri siku zinavyozidi kwenda wanaona kabisa ndoa yao itakuwa ni ndogo sana na wala haitakuwa kubwa kama watu wanavyofikiria.
Mwezi wa kumi Kanye ali-propose kwa Kim katika sherehe binafsi iliyofanyika AT&T Park, Francisco, California.
0 comments:
Post a Comment