
Uwezi amini unaambiwa ule uhusiano wa
kimapenzi kati ya Drake na Chriss Brown uliokuwa Gumzo week iliyopita
baada ya kutangaza kuwa wameamua kuwa wapenzi kabisa ..eti sasa
wameachana tena na inasemekana kuwa kisa ni Chriss Brown , inasemekana
kuwa Drake Amemfuma Rihanna Mara Kadhaa Akiwa anawasiliana na Chriss
Brown wakichat Massage za Kimapenzi ...Mhhh Wacha Movie iendeleee......
0 comments:
Post a Comment