Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema taifa, John Heche,
akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Lumuli, wakati wa kampeni za kumnadi
mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga kupitia
chama hicho, Grace Tendega uliofanyika kijijini hapo jana.
Meneja
wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Alphonce Mawazo, akimwelezea mtoto Zakina Miwela, anayesoma
darasa la pili katika Shule ya Msingi Lumuli, ambaye ni mtoto wa
kiongozi wa CCM wa kijiji hicho, anavyoonekana bila viatu na sare zake
kuchanika, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo jana.
Meneja
wa Kampeni za mgombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo na
mgombea, GraceTendega, wakizungumza na akinamama wa kijiji cha Lumuli,
katika kikao maalumu baada ya mkutano wa kampeni, zilizofanyika kijijini
hapo jana.
Mgombea wa CHADEMA akipokelwa Lumuli
0 comments:
Post a Comment