
Jamani imenibidi tu nisema huyu jamaa
kwenye picha ndio roho yangu kwa sasa nampenda kufa hata akiniambia
tuoane leo mimi nipo tayari ...Jamani tulikutana nae kama mwaka umepita
akani approach mimi nikawa namringia kwa vile sikumpenda hata kidogo pia
marafiki zangu walikuwa wanasema si size yangu eti hatuendani ni
mshamba basi na mimi nikamchukulia for granted nikawa na mzungusha, basi
siku ya mwaka mpya akanipa offer twende tukaspend bagamoyo for two days
sasa huku nilipewa penzi la nguvu ambalo sijawahi pewa na mwanaume hapa
dar yaani mpaka niliwasahau masharobaro wangu wote ...jamaaa anajua
kunigusa napopataka kwa kifupi anajua si unaona kwenye picha hapo hiyo
ni trailler tu....Nampenda sana wale marafiki zangu waliokuwa wanamponda
sasa nawaambia hivi hapo ndio nimefika nimeoza....Nimeziba masikio hata
akisema leo tuoana hata bila sherehe namkubali...I love u Charles
0 comments:
Post a Comment