NAHISI NINA MIMBA LAKINI NAMUONEA HURUMA MPENZI WANGU MAANA BADO HANA KAZI, JE NIFANYEJE??..USHAURI PLZ!

Nimepata mimba kwakweli sitaki kuitoa ila namuonea huruma mpenzi wangu hana kazi na mimi pia bado
hata sijamaliza chuo. wazazi wangu sasa hivi wananifikiria mimi tu sasa nikiwaletea na mtoto tena itakuwaje wakati mimi tu wananishindwa. Naombeni Ushauri Jaman..

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini