MASOGANGE NI BORA UJIPATIE PESA KWA KIPAJI CHAKO CHA KUKATA MAUNO MAJUKWAANI KULIKO KUUZA URODA!

Week hii Mitandaoni zimetawala picha za Agness Masogange Mitandaoni Akicheza jukwaani huku akionehsa kiuno chake kwa chati kwenye ufunguzi wa Pub Moja huko Dodoma Its Obvious Alilipwa kwa kufanya hivyo tena si hela ndogo ...Mimi ki  ukweli kanifurahisha ni bora atumie kipaji chake na umbo lake kujipatia hela kwenye matamasha ama video mbali mbali kuliko ile ya kuuza Sembe aka Ungaz....Hongera Masogange......Au unasemaje mdau ?

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini