
Chanzo makini kilipenyeza ‘upupu’ huo ambao umefafanuliwa na Steve Nyerere kuwa ukaribu wa Lulu na bosi huyo umetokana na kazi kwani yeye na Lulu wameingia mkataba hivyo walitegemea kusikia manenomaneno.
Lulu alipotafutwa kuhusiana na ishu hiyo, alitiririka: “Wabongo wanapenda sana kuzusha mambo, sijawahi kuwa na mwanaume anayeitwa Johnson zaidi ya kuwa bosi wangu.”
0 comments:
Post a Comment