
Mnenguaji Titinaa Mwinyi akiwa kazini.




WANAMUZIKI
wa Bendi ya Extra Bongo (Wazee wa Kizigo) leo walinaswa kambini kwao,
ukumbi wa Heineken uliopo Mtoni-Kijichi, Jijini Dar es Salaam, wakijifua
kwa ajili ya uzinduzi wa albamu yao mpya iitwayo ‘Mtenda Akitendewa’
unaotarajiwa kufanyika Jumamosi ijayo ndani ya Uwanja wa Taifa wa
Burudani wa Dar Live ulioko Mbagala-Zakhem.
0 comments:
Post a Comment