HUDDAH NA MUSTAPHA WAZUNGUMZIA KUHUSU MAHUSIANO YAO YA KIMAPENZI

 
Aliyekuwa mwakilishi wa Kenya katika jumba la Big Brother msimu uliopita, Huddah Monroe ambaye pia alikuwa mpenzi wa rapper Prezzo, ametangaza kuwa kwenye penzi jipya na mwanamuziki mwingine kutoka Kenya Colonel Mustafa.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini