DEREVA WA LORI LA MAFUTA ATEKETEA KWA MOTO KATIKA AJALI MIKESE MKOANI MOROGORO

Baadhi ya watu waliokwama kijiji cha Fulwe kata ya Mikese mkoani Morogoro wakiangalia mwili wa dereva wa lori lililobeba shehena ya mafuta lililokuwa likitoka Dar kueleka upande wa Morogoro, ukiwa umeteketea vibaya kwa moto baada ya ajali.
Mwili wa dereva wa lori la mafuta ukiwa umeteketea kwa moto.
Wananchi wakibeba mwili wa dereva wa lori ulioteketea kwenye moto.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini