Mwanadada
mtanzania aishiye marekani ambaye ni mpenzi wa Prezzo, Starlisha Tillya
a.k.a Chagga Barbie ambaye hivi majuzi alimtupia maneno machafu na
mazito mpenzi wake wa sasa ambaye ni Prezzo lakini hapo baadae alijua
makosa na kuomba msamaha.
Chagga
Barbie hapo awali aliwahi kuwa mahusiano ya kimapenzi na mwanamziki
wa Nigeria anayeunda kundi la Blacket wazee wa yoriyori anaejulikana kwa
jina la Vast, Uhusiano wa Chagga
Barbie
na Vast haukudumu kwa muda mrefu ingawa ulikuwa wazi karibia kwa
wanigeria wote wanaofatilia mziki na maisha ya mastar hao. Baada ya
Chagga Barbie kumwagana na Vast ndipo akaamua kuamishia majeshi yake kwa
mkenya Prezzo ambaye waligombana sana na sasa wapo pamoja.
~swahilitz
0 comments:
Post a Comment