WEMA SEPETU AHUSISHWA KUVUJISHA PICHA ZA UCHI ZA RAFIKI YAKE NAIMA

http://2.bp.blogspot.com/-OBkB5clrWgE/Uu9-dFglulI/AAAAAAAAK5U/Jlp1ID3vL7w/s640/68e72a385c0c11e3bf47122036478823_8.jpg
Kufuatia kuvuja kwa picha za ibu za aliyekuwa shoga yake Wema Sepetu kabla ya kutemana na Naima kuchukuliwa na aliyekuwa mpenzi wa Wema ambae ni kizito  anaetajwa kwa jina la Clement , habari zimevuja kuwa huenda ni mashabiki wa Wema walifanya hivyo kumkomoa tu Naima.

Kwa mujibu wa chanzo   chetu ambacho ni mmoja wa kundi la mashabiki wa Wema kilisema : ” Kwa nini hizo picha zilikuwa hazijavuja toka siku nyingi ?, hiyo ni mikakati ya mashabiki wa Wema ambao daima hawapendi kuona Wema akinyanyasika  na ndio maana zimevuja baada ya kumchukua Kigogo”


Picha za naima zimevuja hivi karibuni zikimuonesha maziwa wazi pamoja na kumuonesha nyeti zake za nyuma na mbele jambalo limeichafua familia yake sana huku wakimlani mtu aliyefanya hivyo.

 ANGALIZO: KUZIONA PICHA SHARTI UWE ABOVE +18..



TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini