VILIO KWA MABINTI BAADA JUSTIN BIEBER KUTOA KAULI HII.... SOMA HAPA!

Coll-Justin-Bieber-2013-Wallpaper-HD-Free.png
Justin Bieber.
Kwenye tangazo ambalo bila shaka litasababisha machozi kwa wasichana wengi duniani, Bieber mwenye miaka 19 sasa amesema anatarajia kuachana na muziki baada ya kuachia albam yake itakayotoka wiki ijayo, Journals na anaweza kuacha ‘mazima’.
Mkali huyo na kipenzi cha wasichana duniani alitoa kauli hiyo kwenye mahojiano na kituo cha radio cha Power 106 cha Los Angeles, California, jana Jumanne: ‘Baada ya albam mpya, kweli ninastaafu. Ninastaafu. I’m retiring.’
‘Nataka kukua kama msanii na natoka nje kidogo, nataka muziki wangu ukue’

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini