Msanii mkali wa pop, huko marekani
Rihanna amekuwa akisikika sana kwa vituko vyake, hivi karibuni
alionekana akiwa amevaa Nusu uchi huku akikatika, wakati alipoenda
kutembelea kwao, nakufanya shuhuli za kimila. Imekuwa ni kawaida kwa
kuvaa nusu uchi na kupita mitaani au hata kwenye maenyesho yake.