MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI MUSHI AACHIWA KWA DHAMANA NA MAHAKAMA YA ZANZIBAR

Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame mwenye mtoto anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini