MR. NICE APATA SHAVU LA KUFANYA FILAMU NCHNI DENMARK

Mr. Nice
Mwanamuziki aliyevuma sana kipindi cha nyuma Mr. Nice amealikwa kufanya filamu mpya na kampuni ya VAD production iliyopo nchini Denmark inayomilikiwa na mtanzania anayeishi nchini humo Mr. Babingwa.Katika mwaliko huo Mr. Mr nice alipata nafasi ya kufanya mahojiano na mtangazaji wa Swahili talk radio ya nchini humo.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini