Meneja
wa Masoko wa Kampuni ya Konyagi Joseph Chibehe (kulia) akimkabidhi
nahodha wa timu ya Mwambao, Selemani Lugono baada ya timu yake kuibuka
washindi wa pili katika Ligi ya Kawambwa Cup iliyomalizika mjini
Bagamoyo mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mbunge wa
Jimbo hilo, Dk. Shukuru Kawambwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa BMT, Iddi
Kipingu.
0 comments:
Post a Comment