
Zikiwa zimebaki siku chache tu hadi kusherehekewa kwa sikukuu ya Christmas, mastaa wengi duniani wamekuwa wakishare kadi zao spesho za Christmas zenye picha zao pia. Kwa Nigeria tayari Iyanya amefanya hivyo.
Lakini
damu ya kunguni ya Diamond Platnumz yenye harufu kali ipitapo jirani na
pua za ‘haters’ wengi wa Kibongo, imemponza baada ya kuweka picha ya
kadi ya Christmas kwenye ukurasa wake wa Facebook. Haijulikani lakini
kama ni kadi ama ni teaser ya kampeni yake kama balozi wa Cocacola.
Haikuchukua muda, baadhi ya mashabiki wake wakaanza kuicheka kadi ya ‘udini’.
Soma baadhi ya comments za mashabiki hao...
Soma baadhi ya comments za mashabiki hao...