AJALI YAUA WATU 12 WILAYANI HANDENI MKOANI TANGA


Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Burudani kutoka Korogwe kwenda Dar es Salaam kupinduka katika kijiji cha Taula wilayani Handeni mkoani Tanga.
 Chanzo: East Africa Radio

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini