WEMA NDIYE IJUMAA SEXIEST GIRL

STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Elizabeth Michael ‘Lulu’, Nelly Kamwelu, Jacqueline Wolper na Jokate Mwegelo usiku huu ndani ya Dar Live.

Shindano hilo lilikuwa linaendeshwa kupitia Gazeti Pendwa la Ijumaa linalochapishwa na kampuni ya Global Publishers Ltd.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini