STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena
Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi
kuachwa bali huwa anaacha mwenyewe.
Akistorisha na mwanahabari wetu, Shilole alisema tangu aanze kuwa na uhusiano, amekuwa bingwa wa kupiga ‘vibuti’ wanaume ambao hawaeleweki.
“Ukweli sijui nina nini ila naamini Mungu amenipa kitu cha pekee kwa sababu naweza kumuacha mwanaume kwa kumtukana lakini akataka kurudi, sijawahi kuachwa,” alisema Shilole

0 comments:
Post a Comment