Admin Hide My Name...Mimi ni Msichana wa
Miaka 22 Niko Chuo Kikuu Hapa Mlimani Dar es Salaam , Nipo Mwaka wa
Pili sasa ...Mimi ni Mzuri kwa Umbo na Sura kiasi kwamba nimekuwa
nikitafutwa na watu wenye Pesa zao nikawape kampani hasa wafanya
biashara wa ndani na wa nje na siku moja moja wanasiasa , Toka mwaka wa
Kwanza nafanya hii Biashara kwa usiku mmoja bei yangu huwa ni milion
moja na saa zingine nikitoa huduma nzuri napewa zaidi ya hiyo ....huwezi
amini mpka sasa kwenye account yangu nina zaidi ya Milion 80 na nyumba
tayari nimeshajenga..Hapa najiandaa kwenda Nigeria Nimealikwa na Msanii
mkubwa wa Huko Baada ya Kumpa Huduma nzuri alipokuwa Tanzania....Eti
anataka Tena...Mimi sio malaya na wala sijiuzi mtaani ila wananitafuta
wenyewe kwa uzuri niliyo nao ....Biashara imechanganyia sasa naona shule
inanishinda hata assignment siku hizi sifanyi nalipa watu wanifanyie
hivyo nafikiria kuacha chuo niwekeze katika mambo mengine..Kwa hela
niliyonayo naweza fungua Biashara yoyote sasa....Ushauri Tafadhali
0 comments:
Post a Comment