Toka niachane na boyfiend wangu ni mwaka
sasa nimejitajidi kuwa mwenyewe kwa muda lakini naona sina sababu na
mimi nahitaji kupendwa, nahitaji mtu wa kuwa karibu nae na kumwambia
yaliyo moyoni mwangu. Nimechoka na upweke jamani.!! tatizo ni kwamba
Kila atakaye nitongoza naona kama ndio wale wale tu hakuna jipya...Ila
sasa nimeamua Acha number au e-mail mwenye Bahati Ntampigia tuongeee..
0 comments:
Post a Comment