Juzi tu Wema Alienda Ofisi za Global
Publishers na kuanzisha Timbili la Haja kwa kudai kuwa wanamfuatilia
sana na kumwandika Sana kwenye Magazeti yao..Nikiamini Wema Sepetu na
Global Publishers ni Maadui wa Kutupwa ....Lakini Jana Wema Sepetu
Kaudhuria Shindano la Global Publishers na Kutunikiwa Ijumaa Sexiest
Girl kama Sikosei...Najaribu kuwaza tu kwa sauti Je walikaa chini na
Kumaliza Tofauti zao ? Au kummpa Ushindi huo wa Sexiest Girl Basi Wema
Ndio Kasahau Kila Kitu .....?????
0 comments:
Post a Comment