
Meagan Good akiwa na Mumewe
Huyu
ni Meagan Good, kwa wanaopenda kucheki movie za kimarekani sina shaka
wanamfahamu vyema mdada huyu anayesemekana ni mkali/mrembo kuliko wadada
wote wenye asili ya kiafrika waigizaji huko mbele... Ila kama ulikua hujui kilicho nyuma ya pazia kuhusu Meagan ni kuwa ameolewa na Devon Franklin ambae ni mchungaji huko Marekani......NI SHIDAA...Kuna upako kweli hapa...Jionee mwenyewe pichaz baadhi za mnyange huyu...



0 comments:
Post a Comment