WAFUMANIWA WAKINYONYANA MATE KORIDONI



Dunia tambala bovu..ni kweli imetokea huko Naija, unaambiwa mambo yalianzia kwenye korido baada ya jamaa ambaye ni mpangaji kuzidiwa na kuanza kufanya yake na dada huyo wa kazi wa mwenye nyumba wake, Bahati mbaya kwao walinaswa na mtoto wa mwenye nyumba hiyo na kisha kwenda direct kuripot kimya kimya kwa mama yake aliyekuwa chumbani.



Mama huyo alifika eneo la tukio na kuwamwagia maji, wapenzi hao wote walikimbia varangati hilo na mpaka hivi sasa beki tatu hajulikani alipo na jamaa hajawasili gheto kwake. Mama huyo mwenye nyumba alimaliza kwa kauli hii: "na bado nawasubiri kwa hamu sana malaya wakubwa" NI NOUMA...!

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini