Wadada wa Kenya Wapagawa na Six Packs za Diamond alipokuwa akiogelea katika Bwawa Moja Huko Nairobi
alipoenda week iliyopita ..Wadada wengi walio kuwa wakishuhudia tukio
hilo la kuogelea la diamond na wacheza show wake walisikika wakisema No
wonder Diamond is Getting Fine Girls wa Kibongo....Na wengine wakimsifia
jinsi alivyoumbika
0 comments:
Post a Comment