PICHA: SHILOLE NDANI YA KANGA MOJA

http://jahazilatown.blogspot.com
Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedhihirisha kuwa ni sikio la kufa baada ya kusema yeye ni miongoni mwa wanawake wanaojua  kuchuna mabuzi.

Kauli hiyo imechochea vigezo vya kumfanya Shilole aonekane hasikii kwani wiki kadhaa zilizopita mchungaji wa kanisa moja lililopo Ubungo, jijini Dar ambaye hakujulikana jina lake, alimtaka kuishi katika sura ya kumpendeza Mungu lakini inaonekana amempuuza.
 
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko juzi, jijini Dar es Salaam, Shilole alisema alitunga wimbo wa Nachuna Buzi kwa sababu anajua kuwa wanawake wengi ni mafundi wa tabia hiyo akiwemo yeye mwenyewe!
 
https://www.facebook.com/theclicktz

 
 

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini