MSANII MDOGO NCHINI KENYA AMCHANA MUSTAFA KWA MAMBO YAKE YA KIPUUZI ANAYOYAFANYA


Nyoto Ndogo amempa makavu live rapper huyo wa Ogopa Deejays kuwa anachokifanya kinamshushia hadhi yake.
Unayoyafanya unafkiria kuitwa baba kesho? maana ni upuuzi mtupu, Nyota Ndogo amemchana Mustafa.

Umri wako hauambatani na vituko unavyo vifanya kwahivyo rudi nyuma ubadilishe. shame on you. wewe hufai kuitwa kioo.

Umeshindwa kuandika nyimbo? kwaivyo unaona bora utafute visangaa? vinakupa sifa but unapata nini zaidi ya sifa hizo? hela kitandani?”
Huyu mustafa hafai kuitwa kioo chajamii kabisa, umri wake na vituko vyake tafauti kabisa.uzee unaingia bado afanya mambo ya kitoto.shame, aliongeza.
Mustafa na Huddah wameendelea kulianika penzi lao hadharani na hivi karibuni wataachia wimbo waoCan’t wait for my Song with @Mustafa_254 to land these streets . It was a first for me . But in life everything is possible, alitweet Nyota Ndogo.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini