MREMBO APIGA PICHA ZA KUTEGA WANAUME NA KUZISAMBAZA MITANDAONI

Star wa filamu anayekimbiza sokoni kwasasa na filamu kibao Mariam Ismail ameonekana kuweka mapozi ya Ajabu katika picha zake mpya kama anavyoonekana hapo chini........






Umemuona Mariam ambaye ni mmoja wa waigizaji wa kike wwaliojaaliwaa vipaji vya ukweli vya kuigiza !

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini