KWA NINI WANUME NDIO WANAANZISHAGA KUOMBA PENZI NA SIO WANAWAKE?

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBGKzU6uDVqpgLRoU6FFBYabaqZ8G0A6wpaRfMzDGldY_Sz5jYLUmc6epPurIYj8BFITfcaI70TiAPzaoUPw1uy7QaWWUWWDzEMgRYostTBvBkWaELvyikvRSVZgfVh-bH1PsN7clEes8/s1600/Love-Romance.jpg
Utaratibu uliojengeka miongoni mwa wanawake ni kwamba siku zote mwanaume ndiye anayeanzisha “movie ya mambo yetu yale” na ndiye steering kwa kila kitu. Yaani hata mwanamke awe na nye** kiasi gani hawezi kuomba mchezo, sembuse kuonyesha dalili, eti mpaka mwanaume mwenyewe amuombe! Hii haikubaliki hata kidogo. 
Jamani, hata kuonyesha morali wa uhitaji hakuna? Ndiyo nini sasa? Mimi nikiona namna hii, huwa nauchuna mpaka zinapita siku 2 hadi 3, nikiona response ni ZERO, naenda zangu kugonga nje. Nikija nakata siku zingine 3, halafu baada ya hapo lawama zinaanza—kwamba kwanini sifanyi kazi yangu—na kutuhumiwa kwamba huenda kuna mahali nagonga. Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utaona ya Firauni! Kila siku nianze mie tu? Unajua hili suala linaboa sana.
Wanawake mnapaswa kubadilika. Msitegemee wanaume ndio waanze tu. Hata nyie mnapaswa kuwa mstari wa mbele kudai haki yenu ya msingi. Haki sawa kwa wote, au vipi? Mkiendelea kukaa kimya na nye** zenu, mtagongewa nje mpaka kieleweke. Mmeona eeh? 
Inapokuwa mwanaume ndiye anaanzisha ‘mchezo’ peke yake kila siku haileti picha nzuri. Hii huleta hisia mbaya kwa mume kiasi cha kujihisi kama vile anabaka. Ndiyo. Kumtaka mtu ambaye siku zote haonyeshi hisia za shughuli muifanyayo kunajenga picha mawazoni kwamba huenda mke hana hamu ya mambo hayo na kwamba huenda anajilazimisha tu na kuigilizia hisia za bandia ili kumridhisha mwenza wake. If this school of thought is correct, how is it different from obtaining the service from hooker? Think BIG and reason.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini