VIDEO YA NAPE AKISIMULIA UNYAMA WA CHADEMA ULIOILAZIMISHA CCM IWATANGAZIE WANACHAMA WAKE KUACHA UNYONGE NA KUJIBU MAPIGO



Hii  ni  Video  fupi  ya  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Bw. Nape Nnauye  akisimulia  unyama  na  ukatili  unaofanywa  na  chama  pinzani  cha  CHADEMA  kiasi  cha  kuilazimu  CCM  nayo  kuwatangazia  wanachama  wake  waache  unyonge  na  badala  yake  wajibu  mapigo  ya  ukatili   huo....

VIDEO  IKO  HAPO  CHINI

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini