Hamisa
Mobeto na Jackie Cliff ni miongoni mwa models maarufu nchini. Jackie ni
mrefu kwa umbo na mkongwe kuliko Hamisa kwenye fashion industry lakini
kuna mambo wanafanana. Wote wanapenda kuvaa, kupiga picha na kushare
kwenye Instagram. Nani mkali zaidi? Let’s Get Ready To Rumble!!
Jackie
Hamisa
0 comments:
Post a Comment