TIWA NA MENEJA WAKE WAYAWEKA MAPENZI YAO HADHARANI

Info kutoka Naija ni kwamba staa wa muziki Afrika Mnigeria Tiwa Savage amevishwa pete ya uchumba na meneja wake aitwae Tee Billz ambae wamekua kwenye mapenzi mazito kwa kipindi kirefu lakini kwa kufichaficha.

Tee Billz amemvisha Tiwa Savage pete hiyo ya uchumba wakati staa huyo wa kike akisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo taarifa za kuaminika ni kwamba wawili hao wanampango wa kuona kabla ya mwisho wa mwaka huu.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini