wanaoenda huko nje sababu
ya kufanya shopping ni uongo mtupu maana ...(akataja jina la msanii
mkubwa wa kike) alishawahi kwenda huko tena alienda kwa ajili ya kigogo
mmoja hapa nchini ambaye alitaka wakutane huko Dubai kwa ajili ya
mapenzi ndipo akapata fulsa ya kufanya na shopping baada ya kupewa pesa
na kigogo huyo" Alisema rafiki huyo
kama kawaida ilitaka kujua ukweli mzima upoje inakuwaje wanaenda nje kufanya
hizo shopping na ni kwa kipato gani wanachopata maana kila siku wanalia
kuwa wasanii maisha ni magumu sasa inakuwaje wanaweza kwenda nje ya nchi
kufanya matanuzi tu?? rafiki huyo alifunguka na kusema tena "Ulishawahi
kumuona msaniii gani wa kiume kaenda kufanya shopping nje ya nchi??
jibu ni hakuna na wao ndiyo wanapata pesa nyingi sana kuliko hao wa
kike. wasanii wa kike wengi wao wanajiuza kwa vigogo ndiyo maana
wanapata hiyo jeuri ya kufanya matanuzi hayo nje ya nchi"
crew yetu ilizidi kumuuliza rafiki huyu wa msanii mkubwa hapa tz kuhusu hilo swala naye bila hiyana aliendelea kufunguka "Hapa
bongo kuna vigogo wakubwa sana wenye pesa zao sasa huwa wanatafuta
wasanii wakike wenye tamaa kwa ajili ya kwenda kufanya nao mapenzi ila
vigogo hao wanaogopa sana mapapalazi kwahiyo huwa wanawachukulia kila
kitu kuanzia usafiri pamoja na malazi katika nchi watayofikia na lengo
likiwa ni kufanya mapenzi tu"
Ilibidi tumtafute msanii wa kike ambaye anaweza kufunguka juu ya suala hili ndipo
tulipompata Snura na hivi ndivyo alivyofunguka baada ya kumuuliza "Ni kweli wasanii wengi wa kike wanatabia hiyo na wengi wao wanajiuza kweli, ninawafahamu kadhaa ila siwezi kuwataja" alimaliza snura kwa kusema hayo
0 comments:
Post a Comment