Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka
kuwa huwa anawashangaa wasichana wasiopenda kujisitiri kwa kuvaa nguo za
ndani ‘makufuli’.
Akistorisha na mwandishi wetu, Shilole alisema katika maisha yake
anapenda sana kujisitiri kwa kuvaa nguo ya ndani hivyo anawashangaa
wasanii wanaotembea bila kuvaa nguo hiyo huku wengine wakidai wakizivaa
wanahisi kuwashwa kwa joto.
“Napenda sana kuvaa ‘kufuli’ na huwa ninapata shida sana kutokana na
wasichana tena mastaa ambao hawavai eti wana aleji nazo, unajua mwanamke
lazima ujisitiri, siwezi kutoka nyumbani bila kuvaa nguo ya ndani,”
alisema Shilole.
0 comments:
Post a Comment