Drake alikuwa Paris kwa ajili ya show
lakini mapaparazi wamejua kwamba Rihanna na Drake walikuwa wana-hang out
pamoja weekend iliyopita sehemu mbalimbali na kupata dinner kwenye
mgahawa maarufu wa L’Avenue.
Unaambiwa pia Rihanna baada kujiachia weekend yote na Drake hakuwa nyuma kwenda kushuhudia show ya Drake usiku huo.
Baada ya show wote wawili waliambatana kwenye night club na mapaparazi wanasema baada ya kujiachia usiku huo wote pamoja waliondoka kwenda Hyatt hotel ambapo Drake ndipo alipofikia.

0 comments:
Post a Comment