Naitwa Nancy Naishi Kijitonyama , mimi ni Msichana na
Miaka 20 nimekuwa nikijitunza kwa muda mrefu ili kutunza Bikira yangu
kwa mwanaume atakaye nioa mungu akijalia …so sijawahi fanya mapenzi na
mtu yoyote japo napata vishawishi vingi….Saa zingine nikisikia hamu huwa najisugua kwa vidole sehemu zangu ili kutoa hamu….
Sasa hivi karibuni nimehisi huku chini hapako tight kama
zamani hata nikiingiza kidole kinaingia bila shida sasa naogopa je
Bikira yangu imeshatoka au ni kawaida? na je kujishika kwa vidole
sehemu hizo kunaondoa bikira?
Please naomba ushauri.
0 comments:
Post a Comment