Ndugu
zangu, naombeni nisieleke vibaya.. Mimi ni msichana mwenye umri wa
miaka 26. Nina mwaka wa kwanza tangu nianze kujitegemea mara baada ya
kumaliza shule. Nimepanga kwenye nyumba moja iliyoko maeneo ya Mbezi.
Tatizo
langu ni kwamba nimetokea kumpenda sana baba mwenye nyumba wangu
ambaye ana watoto na familia. Kila nikijibaraguza siwezi.
Nimefanya kila mbinu kuzificha hisia zangu lakini nimeshindwa.Kimsingi simpendi mwanamume mwingine zaidi yake.
Nisaidie kuniepusha na mtihani huu mgumu.Asanteni
Anna
0 comments:
Post a Comment