MWANAFUNZI AJICHOMA KISU BAADA YA KUPATA DIVISION ZIRO MTIHANI WA KIDATO CHA NNE-2013

Kijana ambae jina lake halija famika mpaka sasa,aneishi mwananyamala
 dar es salaam anae semekana kuwa ni mwanafunzi ambae alimaliza kidato
cha nne mwaka jana yan elfu 2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na
 kuwahishwa hospital ,huku chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yako ya
 kidato cha nne,matokeo yake hayakuwa mazuri maana amefeli kwa kupata
 ziro...

Tutazidi kuwapa taarifa

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini