Nina rafiki yangu ameolewa miaka 5 iliyopita kabla ya kuolewa alikuwa na mtoto mmoja,shida aliyonayo ni kwamba toka aingie kwenye ndoa mume wake hasimamishi kabisa,hivyo hutumia ulimi na kuuingiza kwenye uke ili amridhishe mkewe.
kipindi cha mwanzo mke alivyomuuliza kama anatatizo akadai ni mawazo tu kwan akili yake asilimia kubwa inawaza amuandaliaje mkewe maisha.
Mke akaendelea kuvumilia sasa imefikia hatua kadai kachoka upande wa kiume hawamtaki wanadai hazai anajaza choo,hilo halimuumiz sana ingawa anapenda kuzaa ila kubwa linalomshinda kuendelea na ndoa ni kutopata haki yake ya msingi tendo la ndoa.Imefikia hatua mume kalidhika na hayo maisha hana dalili ya kutafuta ufumbuzi kila akimshauri anapuuza tu.
0 comments:
Post a Comment