MTOTO wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Salmin Amour aitwaye Amini Salmin, Februari 14 mwaka huu alinaswa akipima Ugonjwa wa Ukimwi ‘ngoma’ katika kituo cha ushauri nasaa cha AMREF Makao Makuu kilichopo Upanga, jijini Dar, Amani linakujuza.
Hata hivyo, baada ya vipimo na kutakiwa kusubiri majibu, Amini alionekana kuwa mnyonge na mwenye mawazo mengi ingawaje aliweza kujifariji kwa kuangalia runinga iliyopo katika chumba cha kusubiria majibu.
Alipoitwa kwenda kupatiwa majibu yake alijikuta akijikwaa zaidi ya mara tatu na alipoingia chumba cha majibu, nusura adondoke baada ya kujikwaa tena katika kizingiti cha mlango wa kuingia kwa daktari.
0 comments:
Post a Comment