Jamani
Wapendwa Valentines imenikalia Pabaya leo yaani, My girl kaja kulala
kwangu ili leo tusherekee wote hii siku kuna mahali tunaenda out of
Town, ila sasa asubuhi ya leo wakati tunajiandaa nikachukua simu yake
nikawa nampiga picha alivyopendeza baada ya kuvaaa sasa katika
kuziangalia zile picha nikakutana na picha zingine
za
utupu alizopiga like one week ago, Sasa najiuliza hizo picha alipiga
kwa ajili ya nani je alimtumia mtu maana kama ni mimi hakunitumia,
nimemuuliza anasema alijipiga kujifurahisha, yaani hapa niko nae ila
kama simwamini tena jamani naombeni ushauri.
0 comments:
Post a Comment