MPENZI WANGU ANANITISHIA KUNIACHA KISA SIMRIDHISHI KIMAPENZI NA WALA SIMFIKISHI KILELENI, USHAURI PLZ KABLA SIJAACHIKA!


 Nakumbuka ilikuwa tarehe 6/2/2013 nilipoleta tatizo kwenye jukwaa hili kuhusiana na mpenzi wangu kutaka kuniacha kisa siwezi kumridhisha(zaidi ya goli moja).Nawashukuru sana tena sana,hakika nakubaliana na usemi usemao MFICHA UCHI HAZAI.Nilifuatilia kwa umakini mchango wa kila mmoja na kujaribu kuyafanyia kazi.Ilibidi nitafute dawa kwa wamasai,na nilipotumia nikajaribu sehemu flani (japo sikupenda kumsaliti nimpendae, aisee,kama kawaida,ka kwanza hakakuchukua hata dakika mbili (nikaogopa),lakini jamaa alizidi kudaii,kapili zaidi ya dakika kama kumi,na nilichokuwa nafanya ni kujaribu kujiamini maana nilishaogopa kuwa siwezi. Siku nyingine nikajaribu sehemu nyingine(kwa umakini zaidi japo siyo matendo mazuri-Mungu hapendi) nikapiga tatu japo kakwanza kaliwahi sana.Mpaka sasa nafikiri naweza.
Na bahati mbaya baada mwezi mmoja my girldfriend alonikosoa akanipigia na kuniambia kuwa hawezi kuendelea na mimi kwa sababu haoni faida ya kuwa nami kwani siwezi siwezi kumridhisha.Wale mliofuatilia tatizo langu mtakumbuka.Nikamwambia tatizo langu nilikuwa na stress,lishe mbovu na nahitaji tuwe pamoja.Nikamwambia mwanaume kama anaweza kusimamisha huyo ni mzima labda kama mzee hasimami kabisa,nikamwambia kuwa ajaribu kuuliza hata kwa wakubwa,akasisitiza kuwa hataki tena kuwa nami.Mi nikamwambia kama Mungu kapanga tuwe wote utarudi tu baada ya kujua ukweli.
Nami nikakaa kimya kwa wiki kama mbili,naona ameanza kunitafuta eti nimsamehe tuendelee kuwa marafiki,amegundua hakuna aliyekamilika,hivi kweli hapa kuna mapenzi ya dhati.Nipeni njia ili siku nikimkamata nimtafune vizuri mpaka ajutie maneno ya kunidhihaki kuwa siwezi kazi,eti mimi ni mwanaume suruali.Kwa mwanaume alokamilika,wastani wa dk(la kwanza,la pili,la tatu huchukua dk ngapi?

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini