MPENZI WANGU AKITONGOZWA HUNIAMBIA NA KU “FOWARD” MESSAGE KWANGU…JE HII NI SAWA?



 -Wadau  Naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu.

 -Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:
 - kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu..”eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka nini?….akaniambia eti anakuja huku[alipo huyu demu] mm nikamwambia nasafiri, sitakuwepo”
  -Pili, jana kaniambia “mpenzi kuna sms zinachekesha…ngoja nikuforwadie…sms 1 ilisomeka “nakuhitaji”….

Sms ya Pili ipo hivi..”leo umependezaa, nataka nije kwako”..hizi sms anadai katumiwa na mshikaji anayeonyesha kumtaka kimapenzi
    -Hapa najiuliza ana maana gani kwa haya?

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini