Mheshimiwa Pandu Amir Kificho ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Muda
wa Bunge la Katiba baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19% ya kura 558
zilizopigwa na kuwaacha kwa mbali Costa Mahalu na Magdalena Rwebangira
ambao wamepata kura 84 kila mmoja ambazo ni sawa na 14.79%. Kura saba ziliharibika.
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba utafanyika siku ya Ijumaa.
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba utafanyika siku ya Ijumaa.
0 comments:
Post a Comment