LULU MICHAEL WA BONGO MOVIE AAMUA KURUDI SHULE NA KUPIGA KITABU

Kweli elimu ni  bahari na wala haina mwisho, picha aliyoipost kwenye mtandao hivi karibuni  wa kijamii inamuonesha msanii huyo mahiri wa bongo movie akiwa anapiga kitabu,huku wadau wakimuhasa apige kitabu uenda ikawa ni mkombozi wake

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini