Habari zenu wapendwa,last night
nilikuwa nago through my emails,nikakuta kuna email kutoka kwa 1 of my female
fans,aliituma kama wiki moja iliyopita,aliniambia kuwa yeye bado ni bikira
lakini kuna mtu ametokea kumpenda na anataka kupeana nae Raha na Utamu kwa mara
ya kwanza katika Maisha yake,kwa hiyo akaniuliza maswali mawili,swali la kwanza
alikuwa anataka kujua jinsi ya kumridhisha boyfriend wake,alikuwa anataka kujua
mambo muhimu kwa sababu hana experience.
aliuliza Jinsi ya kupeana Raha na Utamu bila Maumivu kwa kuwa yeye
bado bikira,so jibu lake ndio hii Post yenyewe.
Ingawa asilimia kubwa ya wanawake au wasichana,hupata maumivu pale
wanapokuwa wanatolewa bikira zao,wapo ambao hawapati maumivu kabisa na pia wapo
ambao hupata maumivu kidogo sana kulingana na hizo bikira wanatolewa na Mwanaume
gani na huyo Mwanaume anajali(care) kiasi gani.
Yapo Mambo ambayo ukifanya,kuna uwezekano mkubwa sana wa kutopata
Maumivu wakati unatolewa bikira,na hata kama ukipata Maumivu basi yanakuwa
kidogo sana tofauti na marafiki zako wa kike ambao kila siku wanakuambia kuwa
inauma sana kitu ambacho sio kizuri kisaikolojia(psychologically),kwani
wanakuwa wanazidisha uoga Ndani ya akili na Nafsi yako,na ukiruhusu Uoga
ukutawale then obviously lazima utaexperience the same pain kama wao(which you
shouldnt coz tendo linaitwa Raha na Utamu,na sio Raha na Maumivu)
Baadhi ya mambo inabidi afanye Mwanamke na mengine afanye
Mwanaume,so itapendeza kama hii post msome wote,au soma peke ako kisha
utamwambia kitu gani anatakiwa kufanya,mambo yenyewe ni kama ifuatavyo,
1.JARIBU KUWA COMFORTABLE NA
ASHKI ZAKO (TRY TO BE COMFORTABLE WITH YOUR OWN SEXUALITY)
Wanawake/wasichana wengi wenye
bikira wanakuwa hawana elimu ya kutosha kuhusu miili yao. Na kitendo cha
kutojua kinajenga uoga na mwisho wake huo uoga unaongeza maumivu wakati wa
kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza.(kisaikolojia/psychologically)
Uoga ukizidi sana,utasababisha
kupunguza na kumaliza kujiamini kwako,kitu ambacho kisaikolojia,kitasababisha
misuli ya uke wako izidi kukaza(clench),na uwezekano wa kukabiliana na Maumivu
unakuwa mkubwa zaidi.
Badala ya kuacha uoga utawale
mawazo yako,unatakiwa utafute njia za kurelax na ujifunze zaidi kuhusu
hamu,ashki,hisia pamoja na mwili wako jinsi utakavyofanya kazi wakati wa
kupeana Raha na Utamu,ili uweze kujiamini zaidi,na kujiamini kwako kutapunguza
au kumaliza kabisa maumivu wakati wa kupeana Raha na Utamu,Zifuatazo ni baadhi
ya mbinu ambazo unaweza kuzitumia kwa ajili ya kujifunza zaidi,
·
Soma zaidi,tafuta vitabu vya
kimapenzi na hata search kwenye internet ili uweze kujua kitu gani kinaingia
wapi,kitu gani ni kawaida na kitu gani unatakiwa kutarajia(what you shuld
expect). Ukishajua itasaidia sana kupunguza na hata kumaliza kabisa
wasiwasi wako kuhusu kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza.
·
·
Elewa Mwili wako,unatakiwa
uelewe mwili wako especially kama Mwanaume/Mvulana atakaekuwa anaitoa hiyo
bikira,na yeye hajawahi kufanya au hana experience yoyote kuhusu Mwili wa
Mwanamke,yaani namaanisha kama hajui wapi akutomase(caress),wapi akulambe na
wapi akutekenye(tickle) etc. Na Njia pekee ya kuufahamu na
kuujua Mwili wako kwa uhakika na kwa urahisi zaidi,ni kupitia KUJICHUA
·
Tafuta Muda ambao utakuwa peke ako,Vua nguo zako zote,jilaze
kitandani,anza kujishikashika na kujitomasa wewe mwenyewe kuanzia kwenye
matiti,mapaja mpaka kwenye uke. Wakati ukiwa unajishikashika na kujitomasa
mwenyewe,utaona na kugundua kuwa katika mwili wako,sehemu zenye 'Hamu'
zinatofautiana kiwango cha kukupa Raha.
Sasa zile Sehemu ambazo ulienjoy zaidi,unaweza ukamwambia boyfriend wako azitumie wakati anakutoa bikira ili usipate maumivu kabisa au hata kama ukipata yawe kidogo sana.
Sasa zile Sehemu ambazo ulienjoy zaidi,unaweza ukamwambia boyfriend wako azitumie wakati anakutoa bikira ili usipate maumivu kabisa au hata kama ukipata yawe kidogo sana.
·
Approach Sex With A Positive
Attitude,Ili kuondoa kabisa Uoga,basi hakikisha huo uamuzi wa kuitoa bikira
yako,uwe umetoka Ndani ya Moyo kwa hiari yako mwenyewe,Kama unajiona unapata
msongo wa mawazo(stress) juu ya kufanya uamuzi wa kuitoa bikira yako,basi ujue
kuna uwezekano mkubwa kuwa Mwili na hata akili,vyote havipo teyari.
·
·
Ukilazimisha ndio hapo
unajikuta unapata maumivu. Ila kama ni uamuzi wako mwenyewe,hakuna
aliyekulazimisha na unajiona upo teyari kuitoa,sio kwa ajili ya kumfurahisha
Mpenzi wako tu,lakini pia unatakiwa uone hii step kama Daraja la kuvuka kwenye
Maisha yako ya kimapenzi linalokutoa sehemu moja na kukupeleka sehemu nyingine
0 comments:
Post a Comment